Jumanne, 1 Novemba 2016





JINSI YA KUZUIA MTU KUJUA KAMA UMESOMA UJUMBE WHATSAPP




Habari msomaji wangu shukrani kwa kutembelea kwa mara nyingine wacha tuendelee kujuzana haya machache ambayo mola wetu mlezi ametujaalia kuyajua leo tuendelee na whatsapp

Wenda hupendi wakati mwingine ukasoma ujumbe uliotumiwa whatsapp na aliyekutumia akafahamu kama uliangaika mno na hukupata jibu basi leo nitakuonyesha njia moja ya kuzuia tatizo hilo

Fuata hatua hizi tatizo litakoma maana na hili laweza kuwa kero hadi tukalipa jina kuwa na hili ni tatizo >>>MENU>>>ACCOUNT>>.PRIVACY

Ingia katika application ya wahatsapp yako kisha nenda sehemu ya mipangilio (setting)

Kisha chagua account


Kisha chagua Privacy


Pamoja na yote uliyoyafanya ukiwa katika ukurasa huu utaona neno Read Receipts Ondoa alama ya pata (tick) katika kiboksi kilichopo mbele 


NB
Hii kazi uliyoifanya hapo juu itakuwa umekamilisha lakini na shughuli yote uliyoifanikisha hapo juu haitatumika kwenye magroup kwenye group watu wako watafahamu kama umeupata ujumbe muda gani


usisahau kutoa maoni yako

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni