Jumamosi, 5 Novemba 2016



Jinsi ya kuipata simu yako iliyopotea Pata ujanja hapa!


Habari ndugu msomaji.Katika mfulululizo wa mada zetu leo nakuletea ujanja flani wa jinsi ya kuipata simu yako iliyopotea,ibiwa au umeisahau mahali fulani!
mwanzo
Ni rahisi sana ila hii ni kwa watumiaji wa simu zenye Androidi pekee.Leo nitakupatia ujanja huo na siku za mbleni nijatakuja na jinsi ya kuipata simu yako lakini kwa njia nyingine tofauti na hii ya leo.Kaa na mimi hapa na uwe unapitia ukurasa huu mara kwa mara!
Cha kufanya ni kuingia kwenye mtandao wa https://www.androidlost.com.Hahihisha una akaunti ya gmail ili uweze kuingia.Ukifanikiwa,Ishushe application katika play store inayoitwa Android lost kisha isanikishe katika kifaa chako.Hapo utakuwa umefikia nusu ya jinsi ya kuitrak smartfoni iliyoibiwa au umesahau mahali ilipo kwa kutumia PC au simu nyingine yenye interneti….
Kinachotakiwa hapa ni uwe na computer/simu nyingine ambayo utaitumia kujua simu yako iko wapi.Vifuatavyo ni vitu ambavyo utaweza kuvifanya kwa kutumia mtandao wa Android lost.com!
  • Kuipiga simu yako na itaita kwa kutumia computer yako au simu nyingine
  • Kujua mahali simu yako ipo kwa kutumia google map katika computer/simu  kwa  GPSunga
  • kupata idadi ya simu zilizopigwa baada ya kuibiwa
  • kupata sms za mwisho kutumwa katika hiyo simu kama mtu aliyeiba kama bado anaitumia
  • kuifanya simu yako itetemeke na kuipta kama umesahau sehemu uliyoweka
  • Kumtumia message mtu aliyeichukua akurudishie na message hiyo itakua inatoka kama pop up juu ya screen ya simu
  • Unaweza pia kuificha App hiyo ili mtu asiweze kuiona na kuiondoa kwenye simu endapo ameiba!!!!
Pia unaweza kumpiga picha mtu aliyeishika hiyo simu hapo hapo na kujua ni nani!! Ni kweli kama huamini comment  hapo chini kwa email yako nikupe ujanja zaidi!!!
Cha muhimu hapa ndugu msomaji ni kuwa na google account na uhakikishe simu yako imekua installed na App hiyo baada ya kuipakua kutoka play store!
Pia unaweza kuitumia kujua mtu fulani anaongea na nani sana lakini hapa mpaka upate account yake na password zake za gmail kitu ambacho sii rahisi sana ila inawezekana kama wewe ni mbishi!Adroid lost
HUO HAPO JUU NI MUONEKANO WA MTANDAO AMBAO UTAKUA UNAUTUMIA  KUFANYA MAMBO YOTE HAYO CHA MUHIMU NI KUCHAGUA UNACHOTAKA KUFANYA!!! KUNA MAMBO MENGI ZAIDI YA HAYO AMBAYO UNAWEZA JIFUNZA CHA MUHIMU NI KUJARIBU KWANZA ILI UJIFUNZE MENGINE!!!
Ipakue hapa uanze kupata haya maujanja  https://play.google.com/store/apps/details?id=com.androidlost
      

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni