Jumatatu, 7 Novemba 2016




NAMNA YA KUWEKA WHATSAPP DP BILA YA KU’CROP’


whatsapp-without-dp
Whatsapp ni moja ya Application Maarufu sana katika smartphones. Bila shaka kwa namna moja ama nyingine umekua ukikwazika pale unapotaka kuweka picha yako Whatsapp DP na Whatsapp kukulazimisha uikate , Leo naenda kukuonyesha ni namna gani unaweza kuweka dp yako whatsapp Bila ya Kuikata ( Without crop).
1.Kabla ya kuanza Mchakato huu unatakiwa Udownlaod App hii
Kwa watumiaji wa ANDROID, Nenda playstore na Udownload  App hii SQUARENDROID au Bofya hapa ili kudownload.
Kwa Watumiaji wa IPHONE, Nenda App store na Download App Inaitwa SquareGram Au bofya hapa Kudownload
2. Install  Hiyo Application , na Ifungue.
3.Baada ya kufungua App utaona Sehemu itakayo Imeandikwa  ‘Pick a Photo’ Ibonyeze
squaredroid/smartphonestanzania
4. Sasa Chagua picha kwenye simu yako ambayo Unataka kuiweka Whatsapp kama DP yako
5. Sasa unatakiwa Kui’scale’ Picha yako kwa kadiri ya size ya Picha unayotaka ikae whatsapp.
droid-dp
6. I’save’  Picha yako kwa Ukubwa na Ubora Uliokwisha Uchagua
7. Hongera Sasa unaweza Kuweka picha Hiyo whatsapp Dp Bila ya kuicrop Au kupunguza Ubora wake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni