Usiteseke Tena Na Anti virus Wasio Fanya Kazi Kwenye Compyuta Yako. Tumia Hawa Sasa Nibure Tu.
Kuilinda computrer yako dhidi ya virus ni jambo muhimu. Na katika kuilinda hiyo computrer unaweza ukanunua ant virus au ukaamua kutumia 'free ant virus'. Kama utakua na uwezo wa kununua basi ni vizuri ukafanya hivyo kwa usalama wa data za computrer yako dhidi ya virusi ila kama utashindwa kununua basi hizi zifuatazo ni ant virus ambazo hutolewa bure:-
AVG
Hii hutolewa bure ikiwa na uwezo wa kuji-update yenyewe automatically au kwa kuruhusu mwenyewe
AVAST
Hutumika kwenye operating system ya windows pia huweza kuji-update. Hii pia ina uwezo wa kuchuja vitu kwenye internet na kurusu vitu ambavyo ni salama kwa compyuta yako. Pia hii huja na ulinzi wa email, chat pamoja na P2P.
Antivir
Hii wakati mwingine huitwa avira. Hupatikana katika operating system za Windows XP, Windows Vista, Windows 7, Windows 8 na Linux/Unix. Hupatkana bure kwa matumizi binafsi. Pia huja na uwezo wa kulinda computer kutokana na vitu unavyopakua (unavyo-download). Pia huweza kujiupdate automatically.
Microsoft security Essential
Hii kwenye window8 huitwa Window Defender. Hulinda computer kutokana na virusi,spyware na vitu vingine vya kudhuru computer. Hii ni ya bure na hupatikana kwenye website ya microsoft wenyewe. Pia huji update yenyewe yenyewe na hutoa onyo pale ambapo kuna shambulio la kompyuta
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni